Search

56 results for Ombeni Mjema :

  1. Mwandishi Zephania Ubwani afariki dunia

    Taarifa zilizopatikana kutoka Arusha zinasema Ubwani wakati anamfanyia mahojiano mmoja wa watoa habari wake ndani ya hoteli alijisikia vibaya

  2. PRIME Kauli ya Dk Malasusa moto kisiasa, yeye ajibu

    Kauli ya Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malasusa imewasha moto wa kisiasa na kithiolojia huku ikidaiwa ni kuliweka kanisa njiapanda.

  3. Matumaini mapya Rais Samia akitarajiwa kuzuru Hanang leo

    Waathirika wa janga la maporomoko ya matope wilayani Hanang, Mkoa wa Manyara wamepaza sauti zao wakitoa maombi maalumu kwa Rais Samia Suluhu Hassan anayetembelea eneo la maafa hayo leo.

  4. VIDEO: Wanaume Rombo walalamikia nyani wa kiume kusumbua wake zao

    Wanaume wanaoishi pembezoni mwa Mto Mlembea, Wilaya ya Rombo, Mkoani Kilimanjaro wamelalamika wake zao kuvamiwa na nyani wa kiume na wakati mwingine kuhatarisha usalama wao.

  5. Mchungaji akomba mamilioni ya muumini akidai fungu la 10

    Mgogoro wa ama ni mkopo au sadaka ya fungu la kumi (zaka) baina ya Mchungaji John Mtuka wa Kimara na muumini wake, Neema Wawa umehitimishwa na Mahakama Kuu ikibainisha ni mkopo unaostahili...

  6. VIDEO: Mbwa afichua yalipo mabaki mwili wa mwalimu

    Mabaki ya mwili wa mwalimu Lightness Peter (29) mkazi wa Bomambuzi, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro yamekutwa katika mashamba ya Miwa ya TPC.

  7. VIDEO: Mama atoa ya moyoni kupoteza wanaye wanne ajalini

    Wazazi wa watoto wanne waliofariki kwa ajali ya gari, Mbwewe mkoani Pwani, wameelezea namna walivyopokea taarifa za vifo vya watoto wao na kusema kuwa ni pigo ambalo halitasahaulika katika maisha...

  8. Uongozi wa Hospitali Mawenzi wataja sababu kukosea maiti iliyozikwa Chalinze

    Uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kilimanjaro Mawenzi, umesema mkanganyiko uliotokea wa kuchanganya miili ya marehemu, ulitokana na marehemu Idd Semindu wa Chalinze, kutokuwa na ndugu...

  9. Wazika maiti isiyo yao Chalinze, ndugu washtuka

    Ilikuwa mshtuko baada ya ndugu wa marehemu Steven Hamis Massawe (60) kufika chumba cha kuhifadhia maiti katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kilimanjaro Mawenzi na kuukosa mwili wa ndugu yao.

  10. Mwanafunzi Chuo cha Ushirika afariki dunia akiogelea

    Mwanafunzi wa mwaka wa tatu katika Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi, Holence Rwazo amefariki dunia kwa ajali ya maji, wakati akiogelea katika chemchem ya maji moto iliyoko Wilaya ya Hai mkoani...

Page 1 of 6

Next